Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA 🔥
NDANI YA FENCE
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
💥 KODI YAKE 150K X4 //
🏘️ ILIPWE LAKI MOJA NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI MINNE NA KUENDELEA.
SIFA ZAKE NI:_
⚡ CHUMBA CHA KULALA
⚡ SEBURE SAFI
⚡ PUBLIC TOILET YA NDANI.
⚡ JIKO SAFI LA NJE
⚡ TILES
⚡ GIPSAM
⚡ ALMINIUM
⚡ MAJI DAWASA METER YAKE
⚡ MAJI YANAFLOW NDANI
⚡ UMEME SHARE W2
⚡ PARKING
KUBWA
⚡FULL PEVING
⚡GARDEN SAFI
🏡 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA NI KM1.5.
BAJAJI TSH700/=
BODA TSH1000/
#0710614924
#0688653940
+----
🇹🇿🏡 KARIBUNI SANA