Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA ZINAKUWA TAYALI KUHAMIA TAREHE 15 /02/2025 MALIPO RUKSA WAHI
#CHUMBA MASTER KUBWA
#CHUMBA CHENYE CHOO NDANI KIKUBWA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#NYUMBA ZINAWEKWA FENSI ILA SIO YA KULAZA GARI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW
#LICATION KIMARA KOROGWE DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA MLANGONI
#BEI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
0715949085
0782838336