Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI NAIFAULISHA ##200K
-----------------------------------
IPO KIMARA STOP OVER UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD ##USAFIRI WA BODABODA NI ELFU 1000 ##MWENDO WA MIGUU NI DK 15 KUTOKA STOP OVER BUS STEND.
------
APARTMENT YA =
CHUMBA MASTER
SEBULE WASTANI
JIKO ZURI
TAILS
GYPSUM
MADIRISHA ALUMINIUM
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI
NDANI YA FENSI PEVING PARKING SPACE KUBWA
ZIPO APARTMENTS TATU NA MOJA NDIO INAFAULISHWA.
--------
KODI LAKI 200,000 /=
KWA MWEZI
ILIPWE MIEZI YOTE SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
0655256419