Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







( 150,000 x 4 ) KIMARA MWISHO APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO ( 4 ) KWENYE COMPSUND MOJA NDANI YA FENSI
ITAKUWA WAZI KUHAMIA SIKU YA ALHAMISI HII KUJA KUONA NA KULIPIA RUKSA KABISA
UMBALI WA KILOMETA ( 1 ,5 )TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRII WA UHAKIKA BAJAJ 1000/=
CHUMBA MASTER SEBULE
TILES GPYSUM SLAIDING WINDOW
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
.CONT
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343