Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 6
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#PUBLIC TOILET IPO KWA NJE
#JIKO KUBWA SANA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 200,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1
USAFIRI NI BODABODA UPO MUDA WOTE
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
๐ NJIA YA GARI SIO RAFIKI KWA MAGARI YA CHINI CHINI NDUGU MTEJA SIMU 0659336751 WSP 0786085637