Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI 200,000X6
Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani ( master bedroom)
Jiko ndani (open kitchen)
Inajitegemea umeme na maji
Kodi 200,000 Kwa mwezi × 6
Umbali KM 1.7 kutoka Temboni kituoni, Bajaji zipo
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
Ulipiapo nyumba dalali mwezi 1
What saapp number 0689-547258