Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA KODI TSH 250,000X6
🏘️APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
CHUMBA MASTER
SEBULE KUBWA SANA
JIKO KUBWA
PUBLIC TOILET
LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
PAVING BLOCKS SAFI KABISA
BEI NI 250K X 6
ILIPWE LAKI 2 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 8 TUU KWA MIGUU
APARTMENT HII IPO MTAA MZURI SANA NA JIRANI NA BARABARA
SERVICE CHARGE NI 15 ELFU
ULIPIAPO NYUMBA DALALI UTAMPA KODI YA MWEZI1
What saapp number ⬅️ 0689-547258