Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


300,000 x6.
KIMARA TEMBONI 300,000
APARTMENT NZURI KUBWA YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA
INAPANGISHWA
BEI NI 300,000/= X 6
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 300,000/= X 6
APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MOJA
Itakuwa wazi tarehe 6/1/2025/
PIGA SIMU NDUGU MTEJA: 0672 673363