Nyumba/Apartment inapangishwa Kinondoni, Dar Es Salaam


APARTMENT FOR RENT
Loc: kinondoni
Price:300,000 per month
Term:six month
Note:(zingatia)
30,000 pesa ya service charge inatolewa mara moja bila kusahau pesa ya dalali mwezi mmoja
Classification:
Chumba master na jiko nyumba mpya full tiles gypsum board madirisha ya kioo kinajitegemea umeme ndani ya fensi
Fanya kazi na Dalali smart, kazi zimenyoka
For more info:
Call:0688037829👈
Call:0718123756👈