Nyumba/Apartment inapangishwa Kisima, Kilimanjaro


▶️ APARTMENT ZINAPANGISHWA CLASSIC SANA
▶️ MAHARI ➡️ CHIDACHI
📍 MUUNDO
▶️ CHUMBA MASTER
▶️ SEBULE
▶️ JIKONI KUNA MAKABATI
📍 HUDUMA
▶️ UMEME INAJITEGEMEA
▶️ MAJI KISIMA
▶️ JIRANI NA USAFIRI
📌 KODI ▶️ 250,000/= @ MWEZI ( 1 )
▶️ NAMNA YA MALIPO
▶️ NI KUANZIA MIEZI ( 3 ) AU ZAIDI
▶️ NA KODI YA MWEZI MMOJA WA DALALI -
ANALIPIA MTEJA ( MPANGAJI )
▶️ SITE FEE NI ELFU KUMI ▶️ 10,000/=
☎️ 0787-037986
☎️ 0655-037986
▶️ KARIBUNI SANA WATEJA WANGU