Nyumba/Apartment inapangishwa Kisutu, Dar Es Salaam


Apartment Kali sana furnished for rent
Mahali: Kisutu
Price: USD 600 Per month
Malipo: Terms of payment 3 month
☑️Lami Nyumba
☑️Chumba Master seble jiko
☑️Fensi & Parking
☑️Inajitegemea Umeme Na Maji
☑️Reserve Tank
☑️Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Mara Moja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa dalali_chiddy_tz
Call & WhatsApp: 0745111333
Call: 0788262263 / 0617252263
Viwanja Na Ofisi Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏