Nyumba/Apartment inapangishwa Madale, Dar Es Salaam







220k MAJI NA USAFI BURE,
MALIPO MIEZI 3, + 1 Depost ( security )
Apartment inapangishwa,
masterbedroom kubwa
jiko kubwa lenye makabati
kibaraza
inajitegemea luku
maji dawasa
ndani ya fensi,
madale road,
0745559598
MKATABA UNAANZA TAREHE 01/09/2025