Nyumba/Apartment inapangishwa Madale, Dar Es Salaam


Apartments zinapangishwa
Idadi ni 6
Zimebaki 3
Zipo madale mnarani
Umbali km 1.5 Toka lami
Kodi 400,000/=TSH kwamwezi
Malipo miezi 6
#vyumba_2_kimoja_master_sebule_jiko_publictoilet_umeme_maji_PavingBlocks_Umeme_Maji_
Sim +255 750 246 905 / WtsApp