Nyumba/Apartment inapangishwa Madale, Dar Es Salaam
NYUMBA YA BIASHARA (APARTMENTS) ZINAUZWA MADALE KWA KAWAWA
KILA APARTMENT NI CHUMBA MASTER ZIPO SITA KILA CHUMBA KINA MPANGAJI NDANI
ZOTE JUMLA KWA MWEZI NI 300,000/=
HAZINA TILES CHINI NI FLOOR TU YA KAWAIDA
ENEO NI UKUBWA WA SQMT 500
ENEO LIMEPIMWA NA LINA HATI MILIKI KABISA KUTOKA WIZARANI
HUDUMA ZOTE ZA KIJAMIII ZIPO KARIBU NA SITE UMEME MAJI VYOTE VIPO
BEI NI MILION 43 MAONGEZI YAPO
BARABARA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA GARI
SERVICE CHARGE NI TZS 30,000/=
Contact 0625584914