Nyumba/Apartment inapangishwa Madale, Dar Es Salaam


11th October 2024----------------Apartment Inapangishwa madale
Chumba master sebule na jiko
Luku inajitegemea
Ndani ya fence, ziko 3
Kodi lk 300,000 /250,000 kwa mwezi
Nyumba haiko mbali na main road
Kwa muhitaji piga simu
0758 572 334
0716 407755