Nyumba/Apartment inapangishwa Makumbusho, Dar Es Salaam


🏢 APARTMENT YA KUPANGISHWA – MAKUMBUSHO 🌇
Inapangishwa apartment mpya ipo Makumbusho, perfect kwa makazi tulivu 🔑
✨ Master Bedroom pekee
🔌 Umeme unajitegemea (LUKU)
🏢 Finishing safi na mazingira tulivu
💰 Kodi: 250,000/= kwa mwezi
📞 Wasiliana: 0678512666
💼 Service charge na agent commission zipo
#Makumbusho #ApartmentForRent #DalaliMshua



















