Nyumba/Apartment inapangishwa Manzese, Dar Es Salaam


NEW APARTMENT FOR RENT 
Loc: manzese tip top 
Price:420,000 per month 
Term:six month 
Note:(zingatia)
30,000 pesa ya service charge inatolewa mara moja bila kusahau pesa ya dalali mwezi mmoja 
Classification:
Chumba master, sebule, jiko full tiles gypsum board madirisha ya kioo nyumba nzuri ya kisasa umeme unajitegemea nyumba ipo karibu sana na barabara 
Fanya Kazi na Dalali smart, kazi zimenyoka 
For more info:
Call:0688037829👈
Call:0718123756👈




















