Nyumba/Apartment inapangishwa Manzese, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA IPO BIG BROTHER MANZESE KITUO CHA MWENDO KASI CHA URAFIKI NA IPO MTAA MZURI SANA BEI NI 250,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KWAKO LIPO KWA NJE PEMBENI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 250,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO BIG BROTHER (MANZESE URAFIKI) NA KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASI CHA URAFIKI MANZESE HADI KWENYE NYUMBA NI DK 7 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
CALL
O627977383