Nyumba/Apartment inapangishwa Mawasiliano, Morogoro
APARTMENT《 4》 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINAPANGISHWA
MAHALI ZILIPO SALASALA MWISHO WA LAMI KWA MKUU WA MAGELEZA
USAFILI BAJA JI 《700 》
UMBALI WA DAKIKA 《8》 KWA MIGUU UKISHUKA STENDI
SOMA KWA MAKINI
SIFA ZAKE
《A》
chumba master sebule kubwa sana jiko kubwa sana full makabati inajite gemea umeme na maji KODI KODI KWAMWEZI NI 700,000 malipo MIWZI X2X3
《SI》
ZIPO Ndani ya fence zipo 4 tu IMEBAKI HIMOJA TUU
Parking space kubwa sana full gardeni
Service charge 《2O》
Malipo ya dalali NImwezi mmoja unampatia dalali ukilipia nyumba
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347