Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYAA KUBWA SANA INAPANGISHWA
KODI 200,000X6
CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO LA OPEN KITCHEN
LOCATION: MBEZI MSUGULI
UMBALI KM 1.5
BARABARA ZEGE HADI MYUMBANI
ZIPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA
MAJI YANA TILILIKA NDANI UMEME SUB METER
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
WAHI CHAPU ZIPO CHACHE
SIMU
0712656027



















