Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT NZR SN ZINAPANGISHWA MAHALI ZILIPO DARESALAAM TZ ๐น๐ฟ๐ ENEO MBEZI LUGURUNI LA PAZ UMBALI WA KUTEMBEA KWA MGUU DK 10/12
ZENYE
CHUMBA SEBULE CHOO JIKO ZULI LA KISASA LINAWWKWA MAKABATI YA CHINI NA JUU
TAILS GYPSUM BOARD ALUMINUM WINDOWS LUKU INAJITEGEMEA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA IPO NDANI YA FENSI GET PAVING BLOCK GET
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI MBILI NA NUSU 250K
KODI ILIPWE MIEZI SITA 6
HAPA ZIPO APARTMENT NNE IMEBAKIA MOJA TU YA JUU
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347