Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
#BEI NI 160,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#LUKU WANASHEA FAMILIA 2 TUU
#IPO NDANI YA FENSI LAKINI UWEZI KULAZA GARI NDANI
#BEI NI 160,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO #KIMARA_TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1
#USAFIRI NI BAJAJI SH 500
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#DALALI_AMBWENE_UBUNGO
#0712348316WhatsAp
#0692937400
#0769680796☎