Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

NDUGU ZANGU HIZI APARTMENT NZURI YA KISASA KIBACHELA INAPANGISHWA
------------------------------------------------------------------------
TAREHE 14/04/2025
------------------------------------------------------------------------
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
INA CHUMBA MASTER SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
------------------------------------------------------------------------
FULL TAILS GYPSUM WINDOWS SLIDING MAJI YA DAWASCO YAPO MASAA 24 YANATOKA NDANI NYUMBA ZIPO NDANI YA ELECTRIC SECURITY FENCE PEVING BLOCK PARKING SPACE IPO KUBWA MAZINGIRA MAZURI USALAMA UPO WAKUTOSHA
------------------------------------------------------------------------
APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8 USAFIRI NI BODABODA AU BAJAJI NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
------------------------------------------------------------------------
BEI TSH { 200 000 }=>KWA MWEZI MOJA MALIPO MIEZI (6) GHARAMA YA KWENDA KUONA NYUMBA TSH 20,000 UKIWA TAYALI KULIPIA NYUMBA HELA YA MWEZI MOJA YA DALALI
------------------------------------------------------------------------
NICHEK - +255677370515
What S App---------- +255688280515
KARIBUNI MBEZI KWA MSUGULI