Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA YA BIASHARA (APARTMENTS) INAUZWA
Zipo apartments 6
zinauzwa Milioni 35 maongezi yapo kidogo
Zipo MBEZI MWISHO MAKABE MSAKUZI Dar es salaam - Tanzania
Apartment mbili ni Sebule na Chumba master kodi ni laki 200,000
Apartment 4 ni chumba chumba kila Mpangaji analipa kodi Elf 50 kwa kila chumba
Makusanyo ya kodi kwa mwezi kwa wapangaji wote ni laki (400,000) Kwa mwaka mzima ni milioni (4800,000)
Apartments zote 6 zimejaa wapangaji
Plot size Sqmt 200
Umiliki Sales agreement (Hati ya mauziano ya selikali za mitaa kiwanja kimepimwa Hati miliki itatoka kwa Jina la mteja atakae nunua)
Site visit fee 30k
Tuwasiliane +255 658 582977, +255 784919453
Kujiunga na group letu la Whatsapp bonyeza hapa 👇 https://chat.whatsapp.com/BLDVlGxAuXH2z2p5y9u9fq
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#regrann #nyumbazakisasa #nyumbanichoo #nyumbanzuri #auction #dalaliwanyumba #viwanja #mashamba #plot #kiwanja #cloudstv #nyumbanafuu #nyumbayakupanga #nyumbayangu #nyumbadareslaam #clouds #maishaninyumba
#daressalaam #wemasepetu #mwanza #kilimanjaro #nyumba #magari #tanzania #biashara #bongo #kariakoo #business #home #houseforsale