Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENTS ZINAPANGISHWA ZIPO NNE KWENYE COMPOUND MOJA - MBEZI MWISHO KWA ROBERT
=====
Chumba Master bedroom Kikubwa
Jiko kubwa
Bei:130,000/=ร6
===
Umbali dakika 15 Kwa miguu Kutoka Kituoni
===
Hazina fensi kwa sasa ila soon itajengwa ndugu mteja ila pia usalama ni wa kutosha maeneo hayo
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
========
Ulipiapo nyumba dalali chamoto mwezi 1
-------
What saapp number 0689-547258