Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







#APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
#ILIYOWAZI YA JUU GHOROFANI
#BEI NI 200,000/= X 6
💥APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
#IPO NDANI YA FENSI NA PARKING YA KUTOSHA
BEI NI 200,000/= X 6
💫💫APARTMENT HII IPO #MBEZI_KIBANDA_CHA_MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2
#USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
PIA UNAWEZA UKAPITIA NJIA YA KIMARA TEMBONI NA UKAFIKA HADI KWENYE NYUMBA NA NJIA ZOTE NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747