Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







0679 997610
#APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
#BEI NI 300,000/= X 6
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUNBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
β HAKUNA MASTER BEDROOM
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING
#BEI NI 300,000/= X 6
π«π« APARTMENT HII IPO #KIMARA_TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA