Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI SANA YA KIBACHELA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6
ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 18/10/2024
🌟🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KIKUBWA
#PUBLIC TOILET
#HEATER YA MAJI MOTO
#HAKUNA JIKO
#HAKUNA SEBULE
#AIR - CONDITION
#HII NI MASTER BEDROOM KIKUBWA SANA
#PARKING KUBWA
#GARDEN NZURI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
đź“ŚWANATAKIWA MABACHELEA WA KIUME NA WAKIKE AU MTU NA MWENZA WAKE TUU
BEI NI 250,000/= X 6
UKILIPIA KODI HII UTALIPIA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) KODI YA MWEZI MMOJA
đź’«đź’« APARTMENT HII IPO #KIMARA_TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
đź’Ą ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 18/10/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA NDUGU MTEJA
PIGA SIMU
0719969102