Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI LUGURUNI, DK 8 TOKA KITUONI AU BODA 1000
__
HII INA
Sebure
Chumba chako ndani
Choo ndani chako
Sehemu ya jiko nzuri
Ipo ndani ya fensi na hapa zpo 7, ila hii ndio ipo wazi
Umeme Luku yako
Maji mnashea bili
Maji dawasa yanaflow chooni
__
Kodi 150, 000/= × 4, 5 au 6
__
#0710614924
_
PIGA SIMU KWA HUDUMA YA HARAKA SANA