Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
(300,000 ×6) 𝗠𝗕𝗘𝗭𝗜 𝗠𝗪𝗜𝗦𝗛𝗢 𝗡𝗝𝗜𝗔 𝗬𝗔 𝗟𝗔𝗠𝗜
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= × 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#HEATER
#PARKING
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 300,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO NJIA YA KUELEKEA MAKABE ILIYOWEKWA LAMI MPYA
NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 TUU USAFIRI NI BAJAJI AU DALADALA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300