Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







HII SI YAKUJIULIZA NJOO WAI CHAPU
APARTMENT MPYA INAPANGISHWA MBEZI MWISHO NJIA YA MARAMBA
===
Chumba MASTER
Kubwa sana yakujiachia
Na kibalaza chako
UNAJITEGEMEA METER YA UMEME MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
JUU FENI ZINAFUNGWA KOTE
Bei:100,000,Kwa mwezi ร 3
===
Umbali km 1.5 Usafiri bajaji zipo 700 Pik pik 1000
==
parking IPO yakutosha
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
0679 956 863
0759151524
0781 418 437