Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
WAHI MAPEMA KABISA HII SI YA KUKOSA IMESHUKA BEI KWA SASA 200,000X6
INA PANGISH MBEZI NJIA YA MPGI MAGOHE KITUO MACHIMBO
SIFA ZA NYUMBA IPO NDANI YAFESI PARKING KUBWA
INA VYUMBA V2 VYA KULALA VYOTE NI MASTER
JIKO KUBWA LA KISASA
SEBULE KUBWA SANA KODI NI 200,000X6
KWENYE COMPOUND ZIPO APARTMENT 3TU
NA HII MOJA NDO IPOWAZI
INAJITEGEMEA KWA KILA KITU UMEME NA MAJI DAWASCO YAPO
YANA FLOW NDANI PIA KUNATAKI LAMALALITA 2000
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 3,5
BARABARA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
USAFILI BAJAJI 1000 AU DALADALA 500 UKICHUKA UNAPIGA TEKEGETI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHUGG NI 15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA CM CHAPU UPATE KITU POA KABISA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637