Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







0679 997610
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA KM2 KUTOKA LAMI
2 VIKUBWA VYA KULALA
KUBWA
TOILET
JIKO
KUBWA
NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
❌ZIPO NDANI YA FENSI ILA HAKUNA PARKING YA GARI NI UNAPAKI BODABODA NA BAJAJI TUU
SERVICE CHARGE 15,000/=
BEI NI 220,000/= X 6
MALIPO YA DALALI YA MWEZI MMOJA TU
CONTACT
(WHATSAPP)
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏
Simu
0679 997610
0747997630
Msigwa



















