Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


——
APARTMENT INAPANGISHWA #MBEZI_MWISHO #250k
=====
Chumba Cha kulala Kikubwa
Sebule
Jiko la kisasa
Choo kizuri ndani
Inajitegemea umeme na Maji Dawasco yanaflow chooni na jikoni
====
Kodi kwa mwezi Ni 250,000 ilipwe miezi 6
====
Umbali KM 2 toka Mbezi Mwisho Usafiri Boda boda 10000
====
Ndani ya fence parking ipo kubwa
=====
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0765-494343
0683-387747