Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE
#CHOO CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#JIKO LA NJE
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 200,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO STAND,,NJIA YA KUELEKEA MALAMBA MAWILI NA IPO JIRANI NA BARABARA NA KUTOKA MBEZI STAND YA MALAMBA HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637