Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT ZINAPANGISHWA MAHALI ZILIPO DARESALAAM TZ πΉπΏ ENEO MBEZI LUGURUNI UMBALI WA DK 10/12
ZENYE
VYUMBA V2 VYA KULA KIMOJAWAPO NI MASTA BEDROOM SEBULE KUBWA SN JIKO ZULI LA KISASA LINAWWKWA MAKABATI YA CHINI NA JUU
ZIPO APARTMENT NNE ZIMEBAKIA APARTMENT MBILI TU
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI NNE 400K
KODI ILIPWE MIEZI SITA 6
NA MALIPO YA MWEZI MMOJA YA DALALI PINDI ULIPIAPO PANGO YA NYUMBA
SERVICE CHARGE NI TSHS ELFU 15 πΉπΏπ
0713320608
0686334182