Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







#APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
#BEI NI 120,000/= X 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 15/04/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
๐HAKUNA JIKO
BEI NI 120,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO #MBEZI_KIBANDA_CHA_MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 3 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343