Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT KALI SANA INAPANGISHWA IPO MBEZI MALAMBA DSM, DK 1 TOKA LAMI.
___________________
KODI 350000×6+MWEZI WA DALALI ULIPIAPO NYUMBA.
...KUONA NYUMBA TSH 20000/=
__________________
SIFA YA NYUMBA
_______________________
__VYUMBA 2 KIMOJA MASTER
__SEBULE KUBWA
__DINNING ROOM
__JIKO NA STORE YAKE
__CHOO CHA FAMILIA
__UMEME NA MAJI INAJITEGEMEA
__WAPANGAJI 3 NDANI YA FENSI
__BARABARA MKEKA
__ELECTRIC FENCE
__PARKING KUBWA SANA
_______________________
__PIGA/WHATSAPP
06595O7709



















