Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYA INAPANGISHWA MBEZI LUGURUNI #250K
Chumba cha kulala sebule Choo ndani na jiko
Kodi 250,000 kwa mwezi Γ 6
Inajitegemea umeme na maji, ndani ya fensi parking kubwa . Ya juu ndo ipo wazi
Umbali dakika 15 kwa mguu kutoka LUGURUNI na dakika 10 kwa mguu toka KIBAMBA HOSPITAL
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0677445508