Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA INAPANGISHWA MBEZI MAGARI SABA #200k
===
Chumba cha kulala kikubwa mno
Sebule kubwa sana
Choo ndani master
Jiko zuri kubwa
Bei:200,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali Mita 700 kutoka Morogoro Road, Kutembea dakika 10
==
Ndani ya fence parking IPO
Inajitegemea umeme na maji
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
CALL
0683234124
0718367179