Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENTS ZINAPANGISHWA ZIPO NNE KWENYE COMPOUND MOJA - MBEZI KIBANDA CHA MKAA
Sebule
Chumba Master bedroom
Jiko kubwa lenye makabati
Bei:200,000/=ร6
Umbali dakika 15 Kwa miguu Kutoka Morogoro Road
Nyumba hizi hazina Fensi kabisa Ila usalama ni kutosha kabisa Asilimia 100%
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
HII NYUMBA INAFAULISHA NDUGU ZANGU KWAHYO UJE UKIJUA HILO SIMU 06 59 33 67 51 WSP 07 86 08 56 37