Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


(200,000 × 6) 𝗠𝗕𝗘𝗭𝗜 𝗞𝗜𝗕𝗔𝗡𝗗𝗔 𝗖𝗛𝗔 𝗠𝗞𝗔𝗔
APARTMENT NZURI YA KISASA NAIFAULISHA MTEJA ATAHAMA TAREHE 30/08/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA
BEI NI 200,000/= X 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
❌❌ HAKUNA JIKO ❌❌
#KIBALAZA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#PAVING
BEI NI 200,000/= × 6
ILIPWE LAKI 2 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA
𝗞UTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 500 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
MTEJA ANAHAMA TAREHE 30/08/2024
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300