Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







#APARTMENT FOR RENT AT MBEZI KIBANDA CHA MKAA KODI NI 200,000/=×6
PIGA SIMU 0677445508
✨️CHUMBA KIKUBWA MASTER
✨️SEBULE
✨️JIKO LENYE MAKABATI
✨️UMEME LUKU YAKO
✨️MAJI YANAFLOW NDANI
KODI NI 200,000/=×6
NYUMBA IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UMBALI WA KILOMETA 1 KUTOKA LAMI
NYUMBA HAINA FENSI ILA USALAMA WA KUTOSHA KABISA ASILIMIA 100
NYUMBA INAKUWA WAZI TAREHE 25/10/2025 KUONA NA KULIPIA RUKSA
SERVICE CHARGE NI 20,000/=