Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
Location: MBEZI LUGURUNI #200k
Sebule Kubwa
Chumba Cha kulala
Choo Ndani (Public)
Jiko Kubwa Zuri la Kisasa
KODI 200,000 x 6
Inajitegemea Umeme Na Maji
Ndani Ya Fence
Parking ipo Ya Kutosha
Umbali KM 2 Usafiri Bajaji Zipo
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp