Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







100,000/= 💥 100,000/= 💥 100,000/= BEI MSEREREKO
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 100,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
📌HAKUNA JIKO
BEI NI 100,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 3 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA SIMU
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343