Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/=x6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA LINAWEKWA MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#HEATER ZA MAJI MOTO NA MAJI BARIDI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 350,000/=x6
💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO UPANDE WA KULIA NJIA YA KUELEKEA MAKABE NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI, DALADALA AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
💥NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA NDUGU MTEJA
#0785889413𝑊𝒉𝑎𝑡𝑠_𝐴𝑝𝑝📲📲
#0785889413