Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT FOR RENT LOCATION MBEZI LUGURUNI UMBALI WA KM 1.5 BODA SHILINGI ELFU 1000
YENYE
VYUMBA V2 VYA KULALA SEBULE JIKO PUBLIC TOILET NO MASTA BEDROOM
TAILS GYPSUM BOARD ALUMINUM WINDOW LUKU INAJITEGEMEA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA PAVING BLOCK GETI
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI MBILI NA NUSU 250K
KODI ILIPWE MIEZI SITA 6
MAPUNGUFU YA MWEZI YANAONGELEKA
SEVIRCE CHAGE NI TSHS ELF 15 🇹🇿
NA MALIPO YA MWEZI MMOJA YA DALALI PINDI ULIPIAPO
CALL 0659244543