Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA MAHALI ILIPO DARESALAAM TZ ENEO MBEZI LUGUGURUNI UMBALI WA KM 2 BODA 1000
YENYE
VYUMBA V2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTA BEDROOM SEBULE KUBWA JIKO ZULI INA VYOO VYA FAMILY NDANI TAILS GYPSUM BOARD ALUMINUM WINDOWS LUKU INAJITEGEMEA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA PAVING BLOCK GETI
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI TATU 300K
KODI ILIPWE MIEZI SITA 6
NA MALIPO YA MWEZI MMOJA YA Dalali PINDI ULIPIAPO PANGO
CONTACT:: 0672 673363
SERVICE CHADGE NI TSHS ELFU 15πΉπΏπ