Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


ββ
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA IPO MBEZI BEACH JIRANI NA SHULE YA MWALIMU NYERERE BEI NI 350,000/= X 6
ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 30/10/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#HEATER YA MAJI MOTO
#PARKING KUBWA
#ZIPO MBILI TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 350,000/= X 6
π«π« APARTMENT HII IPO #MBEZI_BEACH JIRANI NA SHULE YA MWALIMU NYERERE NA NYUMBA IPO MTAA MZURI SANA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747