Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
============
LOCATION: MBEZI MARAMBA WAWILI KITUO MAKUTI UMBALI WA DK 8 MPKA 10 TU KWA MIGUU KUTOKA LAMI
============÷
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
=============
SIFA ZAKE
=========
NI CHUMBA KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA NA CHOO NDAN
===========
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI LUKU YAKE MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW CHOONI NA JIKONI IPO NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA MAZINGIRA MAZURI SANA FULL GARDEN SAFI
================
INAPIGWA RANGI NDAN VIZURI SANA NDO UAMIE
==============
BRBR NI RAFIKI KWA GARI YA AINA YOYOTE NDG MTEJA WANGU
===============
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
============
CONTACT
0713320608
0686334182
07